Tanzania Rural Revival / Uboreshaji Maisha Vijijini Tanzania was established in 2005 to provide small-scale financial support to villagers in remote parts of south-west Tanzania. Funding priorities are identified by villagers and their representatives. Funds are spent, where possible, on locally produced materials. The organisation has no staff and is extremely non-bureaucratic. The funds raised go directly to support projects in Tanzania and all expenditure is monitored carefully. Funds come from individuals and organisations in the UK and other countries. People from TRR/UMVT visit Bulongwa regularly and have built up personal links which is key to the work there.
Tanzania Rural Revival (Uboreshaji Maisha Vijijini Tanzania) inafanya kazi kwa ushirikiano na Wanavijiji wa Wilaya za Makete na Nkasi kuwezesha maendeleo muhimu ya vijiji hivyo. Hiki ni kikundi kidogo chenye ufanisi mkubwa, ambacho kinatoa misaada mbali mbali itokanayo na michango ya watu kutoka Uingereza wanaowapenda na kuwajali Watanzania. Kikundi hiki cha Tanzania Rural Revival/Uboreshaji Maisha Vijijini Tanzania kinawashukuru sana washirika wao wa Tanzania kwa kuhakikisha kwamba misaada na mitaji inayotolewa kwa wanavijiji wa wilaya za Makete na Nkasi inatumika vyema kuwawezesha kuboresha maisha yao.